Saaafiiiiii
Yaani niache kulewa na kupoteza hela zangu bure nijenge nyumba, mimi huyu?
Mjichanganye tu mkidhani ni ya 7m😃😃, mbaka imeisha hiyo sio chini 35m
Na inaweza kuzidi hapoUtaambiwa hapo milioni 20 upuuzi kabisa.
Ramani haijakamilika
Yaaan had ikamilike kama ilivyo hapo.Utaambiwa hapo milioni 20 upuuzi kabisa.
Hiyo nyumba ni chumba kimoja auNa inaweza kuzidi hapo