Wakuu kweli pum pum na kitambaa cheupe zikufanye usijenge hata haka

Pesa inamambo sana wakuu kwahili nimeona ngoja nishare
Kuna kasumba moja imeibuka mtu kubeba nyota kupitia wanawake tunao ishi nao,
Nihivi Hawa jamaa wakiona unafika vizuri kiuchumi wanaanza muwinda mkeo

Wakishatembea nae tu uchumi wako hapo lazima uporomoke ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…