Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,435 Reaction score 7,784 Feb 14, 2025 #21 nasoma hizo comments utumbo unanicheza, mimi kuchora chora kila sehem makabti ya nguo vyumbani utasema ubao sjabahatika kuharibiwa sim wala tv na sitaki itokee maana nutakavyo mkanda lazima niundiwe kamati ya kimaadili.
nasoma hizo comments utumbo unanicheza, mimi kuchora chora kila sehem makabti ya nguo vyumbani utasema ubao sjabahatika kuharibiwa sim wala tv na sitaki itokee maana nutakavyo mkanda lazima niundiwe kamati ya kimaadili.