dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Tz maisha stress tupu, em cheki, matokeo stress
bado zile stress za kumaliza chuo unasugua benchi
bado zile stress za kumaliza chuo unasugua benchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arudie form3 alafu alifika f4 aniandikishe kama private candidate...hapo kama atakua serious anaweza ondoka na kitu lakini akisema akarudie f4 atakula zero tenaUmemaanisha arudie kidato cha nne au atafute nafasi ya kidato cha tatu afanye mtihani mwakani ? Sidhani kama inawezekana kwa mtu aliyefeli kidato cha nne kurudia kidato cha tatu, labda arudie mtihani wa kidato cha nne kama Mtahiniwa wa kujitegemea (private candidates).
Apelekwe garage alafu baadae mnakuja kulia umu oooh hakuna mafundi gari wazuri bongo kumbe wenyewe ndio mnawapeleka akifeli shuleKwa nini hakutegemea? Nani alimfanyia paper? Mpeleke gereji
Watu huwa wanaichukulia biashara kama kitu rahisi sana Kila mtu anaweza kufanya, wangejua biashara Ina tu vitu vitu Sio poa.Ndio kusema hana akili za class ila za biashara zimo
PowaAkaresit f3 kama anataka kusoma na awe serious, kwa sasa asahau kusoma elimu ya chuo unless kama ataenda VETA atumie cheti ya std7
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Aende jkt awe askariWakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.
Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yeah nimekupata, shukuraniaachane na shule haimfai muhimu ashatoa ujinga, mfundishe biashara mkuu, bado Mdogo sana huyo na ukimsimamia atafanya vizuri huko mbele, mfungulie hata kijiwe cha pweza kwa kuanzia na umpe target kulingana na biashara utakavyoiona, haya mambo ya kusomea kusomea yamewachelewesha wengi sana
Yaani mtu aliyefeli Kia's hicho Kweli akawe clinical officer hapn bhna msichezee elimu Kiasi hcho Ni Bora tu aolewe au akajifunze Kaz za ushonaji na kutarizi vitambaa na vitenge
YeahNa hajasoma physics wala chemistry
Hivi kwanini waliofeli wanapelekwa kujifunza zile fani zenye kuhitaji umakini bila kusomea?Kwa nini hakutegemea? Nani alimfanyia paper? Mpeleke gereji
Gareji na ufundi seremala kule unajifunza moja kwa moja kwa vitendo tu,sawa na mkulima. Hata uwe kilaza kiasi gani lazima tu uelewe. Kama ni kilaza zaidi huko gareji itakuchukua muda kujua, wewe utakuwa unatumwa sana na vibao vingi. Ila ukija kujua unakuwa mzuri sana. Ksbb umejifunza kidogo kidogo kwa kurudia rudia.Hivi kwanini waliofeli wanapelekwa kujifunza zile fani zenye kuhitaji umakini bila kusomea?
Imagine mtu kapata zero (sio huyo) akatengeneze magari bila . Tunaongeza uwingi wa ajali barabarani kwasababu mafundi wanaorepair magari hayo ni vilaza
Only in Tz.