Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

Wakuu mnaosema mieleka ni maigizo

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
855
Wakuu hivi mnaosema mieleka ni maigizo mmeichecki match ya hell in cell ya seth rollins? mkiiangalia ndio mlete na ushahidi kuwa ilipangwa
 
mieleka ya kweli ni ile ya olympic tu, mingine hiyo ya WWE yote ni feki hata iwe ya namna gani, ni sawa na kusema movie za schwaznneger kama Predator, Au Terminator ni za kweli kwa sababu ni kali na za kutisha, usidanganyike mieleka hiyo ya entertainment ni feki kila kitu kimepangwa,
 
Nyundo, viti, ngazi, meza, ulingo nk vinavyopatikana katika ulingo wa mieleka vyote ni nyolonyolo kabisa.
 
Dah nina miaka kadhaa sasa nimeacha kuangalia, sio maigizo ila ina set of planned actions
 
mieleka ya kweli ni ile ya olympic tu, mingine hiyo ya WWE yote ni feki hata iwe ya namna gani, ni sawa na kusema movie za schwaznneger kama Predator, Au Terminator ni za kweli kwa sababu ni kali na za kutisha, usidanganyike mieleka hiyo ya entertainment ni feki kila kitu kimepangwa,
Na ndio maana huwa kuna tahadhari ' Dont try at home'.
 
Sasa na wewe acha ushamba,mieleka ile inaonekana dhahiri kabisa ni maigizo
 
Sasa itabidi tuanze kutumia fimbo maana mmekuwa vichwa ngumu hamtaki kuelewa. Uliwahi kuona mieleka ya kijapani?

Ni zaidi ya maigizo....
 
Watanzania tuliowengi uelewa uko chini,hivi unahitaji elimu gani kujua yale ni maigizo?
 
Jiulize kwanini huo mchezo hauna mashindano ya kimataifa kama ya Boxing.
 
Wakuu hivi mnaosema mieleka ni maigizo mmeichecki match ya hell in cell ya seth rollins? mkiiangalia ndio mlete na ushahidi kuwa ilipangwa

Maigizo inamaanisha hawapigani kweli
Mieleka ni kama kupimana kuchoka ila si kupigana kweli
 
Back
Top Bottom