Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
1997??Wakuu, leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku.
Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magu, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.
Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha.
Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine ntajiongeza...
Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge...
Mkuu, sio kwamba nimezaliwa 97! Huo ni mwaka wa mwisho mimi kuangalia mpira. Nadhani kulikuwa na kombe la Dunia mwaka 96/97 kitu kama hicho, hapo ndio ilikuwa mara ya mwisho mimi kuangalia mpira full match... Vinginevyo labda nipite bar nikute wanaonesha mpira ndio ntatupia macho dk mbili tatu!1997??
Aisee kumbe tupo na wajukuu zetu humu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Elfu kumi kagaiwa, still hataki kujituma akatafuta ya kwake, anataka kutumia aliyogaiwa kwa kubeti, halafu analaumu usawa wa magufuliLeo huna mia, ukianza kubeti utauza hadi boxer uliyovaa. Nenda sokoni kaokoteze hata nyanya uuze
Thanks. Nimeshajisajiri M bet, nataka nibet online... Nimeshawatumia buku kupitia M Pesa. Tell me more about that plz...Kampuni mama za kubet tz
Meridian
Premier
M bet
Mkeka bet
Nakushauri anza na mbet...
Download app yao
Kisha nitafute pm kwa maelezo zaid..pia ukitaka grp la wsp la mambo ya kubet nichek
Mkuu nakushauri achana na huo mchezo sio mzuri kama ukiuzoea utakupa tabu sana kwa kuna kipindi utakuwa huna hela alafu na wewe unataka kubet unaweza kujiingiza kwenye udokozi alimradi tuu upate ya kubetia hivyo kama huna kipato kizuri jipange sawasawa achana na huo mchezo utazidi kukufanya uone maisha magumu wacha waliozoea huo mchezo wafanye wenyewe kwani hata wao wenyewe wanaoucheza wanatamani waache lakini hawaweziWakuu,
Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magufuli, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.
Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha. Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine nitajiongeza.Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge.
Ukiingia kwenye acnt yako utalikuta buku lako...Thanks. Nimeshajisajiri M bet, nataka nibet online... Nimeshawatumia buku kupitia M Pesa. Tell me more about that plz...