Wakuu, mnifundishe kubet!

Wakuu, mnifundishe kubet!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Wakuu,

Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magufuli, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.

Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha. Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine nitajiongeza.Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge.
 
Tafuta thread za kubet zipo humu
 
Wakuu, leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku.
Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magu, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.
Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha.
Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine ntajiongeza...
Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge...
1997??

Aisee kumbe tupo na wajukuu zetu humu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sikushauli kubeti labda ukitaka kubeti ubeti timu zisizidi tatu na uweke ela na usitalajie ku
 
Tatuta mtu anaebeti utakuwa unaongozana nae akibeti unamwambia akubetie nawewe
 
1997??

Aisee kumbe tupo na wajukuu zetu humu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, sio kwamba nimezaliwa 97! Huo ni mwaka wa mwisho mimi kuangalia mpira. Nadhani kulikuwa na kombe la Dunia mwaka 96/97 kitu kama hicho, hapo ndio ilikuwa mara ya mwisho mimi kuangalia mpira full match... Vinginevyo labda nipite bar nikute wanaonesha mpira ndio ntatupia macho dk mbili tatu!
 
Leo huna mia, ukianza kubeti utauza hadi boxer uliyovaa. Nenda sokoni kaokoteze hata nyanya uuze
 
Katafute kazi ufanye mkuu, acha kupenda mteremko, utakufikisha pabaya
 
Leo huna mia, ukianza kubeti utauza hadi boxer uliyovaa. Nenda sokoni kaokoteze hata nyanya uuze
Elfu kumi kagaiwa, still hataki kujituma akatafuta ya kwake, anataka kutumia aliyogaiwa kwa kubeti, halafu analaumu usawa wa magufuli
 
kaaaaaaaaazi kwelikweli!! unataka kuwekeza maisha kwenye bahati nasibu? hebu mwanaume wa dar kabebe zege huko uingize teni....
 
ivi anayebet naye ni mfanyabiashara[emoji1][emoji1][emoji1] basi vijana mko vizuri kwenye kujiakiri. Yule kijana mkenya aliyewin hela nyingi kawashtua eeeh
 
Kampuni mama za kubet tz

Meridian
Premier
M bet
Mkeka bet

Nakushauri anza na mbet...

Download app yao

Kisha nitafute pm kwa maelezo zaid..pia ukitaka grp la wsp la mambo ya kubet nichek
 
Usikatishwe tamaa kubet ukiwa serious.. Kila siku unalaza 30000---usiwe tu natamaa
 
Kampuni mama za kubet tz

Meridian
Premier
M bet
Mkeka bet

Nakushauri anza na mbet...

Download app yao

Kisha nitafute pm kwa maelezo zaid..pia ukitaka grp la wsp la mambo ya kubet nichek
Thanks. Nimeshajisajiri M bet, nataka nibet online... Nimeshawatumia buku kupitia M Pesa. Tell me more about that plz...
 
Wakuu,

Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha Magufuli, nimeonelea nianze kufanya biashara ya kubet.

Mimi sio mpenzi wa mpira na hata tangu nizaliwe (I mean since 1997) sijawahi kaa kuangalia mechi moja ya mpira ikaisha. Sasa naombeni mnipe ABC za kubet mengine nitajiongeza.Nataka niunenepeshe huu ugali ili maisha yasonge.
Mkuu nakushauri achana na huo mchezo sio mzuri kama ukiuzoea utakupa tabu sana kwa kuna kipindi utakuwa huna hela alafu na wewe unataka kubet unaweza kujiingiza kwenye udokozi alimradi tuu upate ya kubetia hivyo kama huna kipato kizuri jipange sawasawa achana na huo mchezo utazidi kukufanya uone maisha magumu wacha waliozoea huo mchezo wafanye wenyewe kwani hata wao wenyewe wanaoucheza wanatamani waache lakini hawawezi
 
Back
Top Bottom