blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 62
- 82
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?.
mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili tafadhali. maana nataka niApply ila ndo hivyo vyeti bado.
nawasilisha
mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili tafadhali. maana nataka niApply ila ndo hivyo vyeti bado.
nawasilisha