Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Mkuu hesabu sio kikwazo maana alipata F o levelAkasome Bachelor of Business Administration (BBA)
TIA Mbeya anasomea kozi yoyote kasoro Accounting / Uhasibu. kozi anazoweza kuomba ni Human Resource Management, Marketing and Public Relations, Procurement and Logistics Management naBusiness Administration.Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe umefanya vizuri o level naomba Msaada jamani kwa HGl anaweza akosoma kozi gani kwa vyuo hivi viwili.
Hivyo viwili anasifa bado mbeya vyuo vipo vingi kuna cucom,teku, kuna must business administrationJamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe umefanya vizuri o level naomba Msaada jamani kwa HGl anaweza akosoma kozi gani kwa vyuo hivi viwili.
Haiwezekan sabab ana aF ya math olevelAkasome Bachelor of Business Administration (BBA)
Watu wanasoma banking and finance Wakiwa na F ya maths sembuse hiyo BBA?Haiwezekan sabab ana aF ya math olevel
Pmj Sana kakaTIA Mbeya anasomea kozi yoyote kasoro Accounting / Uhasibu. kozi anazoweza kuomba ni Human Resource Management, Marketing and Public Relations, Procurement and Logistics Management naBusiness Administration.
Mzumbe anaweza kuomba Law na Human Resources management/
⚠️⚠️ Ushindani ni mkali sana kuingia vyuo vya serikali, aombe na vyuo vya ziada kama chuo cha kanisa katoliki Mbeya (CuOm), chuo cha Iringa cha kanisa katoliki Ruaha, n.k. matokeo ya mwaka huu kuna division one elfu 60, wenye division 2 na 3 kupata vyuo vya serikali ni bahati.
Kasome sheria Mzumbe.Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe umefanya vizuri o level naomba Msaada jamani kwa HGl anaweza akosoma kozi gani kwa vyuo hivi viwili.
Sheria kwa 2 ya kumi na moja. Naona kama kipengeleKasome sheria Mzumbe.
Hoja haina ubishi hii!!!Sijasoma uzi mpaka mwisho, ila nachojua Mbeya sio jiji ila ni soko la viazi na mpunga.
Wajanja wote wa nchi hii walisoma Dar.