Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Hali inaweza ikawa ngumu but haijafikia huku...
 
Bange bhana... Eti unakumbuka tu a.k.a yako tu.. Hiyo a.k.a ulianza kuitwa tangu ukiwa na mwaka mmoja au? Utakua sio mzima
 
Ww kifungoni umetoka lini au umetoroka fox liver
 
Jina lako ni FARU JOHN, jitambulishe hivyo kituo chochote cha karibu
 
Bangi tu tupu zunakusumbua huna ki ngine karibu kumuuliza aliyekupa bangi atakua anakumbuka jina lako. Vinginevyo ushaanza kuwa taahira so usisumbuke sana maana hata ukikumbushwa halina maana tena.
 
wafumuliwa marinda-mirinda- nyu - ma wengi ndio hua wanapoteza kumbukumbu za majina yao kisayansi..nadhani wewe ni muhusika pia.. mcheki rayvan hapa anatafuta washirika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…