mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Una umri gan??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mojawapo ya izo Pumba ni hii apaMsimlaumu Sana nimecheki post zake hapa jf ni pumba 80%
Ww kifungoni umetoka lini au umetoroka fox liverWakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi
Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau
Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?
Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha
Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
muite Yesu mara 665 hakika utalikumbuka jina lako, nakuhakikishia.Asante
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Unaitwa MWAJUMA
wafumuliwa marinda-mirinda- nyu - ma wengi ndio hua wanapoteza kumbukumbu za majina yao kisayansi..nadhani wewe ni muhusika pia.. mcheki rayvan hapa anatafuta washirika..Wakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi