boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Kwanza nilistua tittleWakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi
Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau
Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?
Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha
Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
Duh mkuu mbona unatukana?wafumuliwa marinda-mirinda- nyu - ma wengi ndio hua wanapoteza kumbukumbu za majina yao kisayansi..nadhani wewe ni muhusika pia.. mcheki rayvan hapa anatafuta washirika..
hapana mkuu science ndio inavyosema..Duh mkuu mbona unatukana?
hapana sio kwelidah! we kijana nakujua mm ni rafiki mkubwa sana wa baba yako tulisomaga wote jina laki kamili unaitwa MATAKOLILE KIBOGA MWAKITIGO jina la hr 666 ni la utani ulipewa na Mjomba wako NYANTUZI kipindi kile unaishi ITIGI
ndio ukweli huo mwanangu MATAKOLILE mm na bibi yako tunakukumbukeni sana nisalimie yule Dada yako MWAKIPAPUCHIhapana sio kweli
Siwezi kuwa na jina la kifala kama hilondio ukweli huo mwanangu MATAKOLILE mm na bibi yako tunakukumbukeni sana nisalimie yule Dada yako MWAKIPAPUCHI
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hicho cha Kahama. Nenda ulikosomea primary school ukaulizie lakini ukumbuke kuambatana na vifuatavyo
1. Vyeti vyako vyote
2. Sample ya bangi uliyovuta
3. Wazazi au walezi
4. Mkt wa serikali za mtaa
Ukimaliza hapo ripoti kituo cha police kilicho karibu kwa kuelezea madhara ya bangi uliyovuta
Icho kitakuwa cha Tarime. Maana kile si cha mchezo mchezoCha Arusha au Kahama?! Tuanzie hapo kwanza....
Duh! Nilikisahau aisee...Icho kitakuwa cha Tarime. Maana kile si cha mchezo mchezo