Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Wakuu msaada tafadhari nimesahau jina langu halisi

Wakuu najua itawaia vigumu kuamini ninachowaambia ila ni kweli kabisa nimesahau jina langu halisi nililopewa na wazazi

Jina ambalo ninalolijua ni hili jina la utani au AKA na jina la JF tu lakini jina halisi nimelisahau

Swali ni je ni vipi naweza kukumbuka jina langu ?

Nimejaribu kuwauliza wazazi jina langu wakajua nawaafanyia mizaha

Je watu wa RITA wanaweza kunipa msaada ?
Kwanza nilistua tittle

Nikaja kudharau nilivyona HR 666

Nilivyosoma tread nikaishia kucheka tu,

Ukiicha kumwabudu shetani utaacha huu uzinguaji wako
 
dah! we kijana nakujua mm ni rafiki mkubwa sana wa baba yako tulisomaga wote jina laki kamili unaitwa MATAKOLILE KIBOGA MWAKITIGO jina la hr 666 ni la utani ulipewa na Mjomba wako NYANTUZI kipindi kile unaishi ITIGI
 
hapana sio kweli
 
Hicho cha Kahama. Nenda ulikosomea primary school ukaulizie lakini ukumbuke kuambatana na vifuatavyo
1. Vyeti vyako vyote
2. Sample ya bangi uliyovuta
3. Wazazi au walezi
4. Mkt wa serikali za mtaa

Ukimaliza hapo ripoti kituo cha police kilicho karibu kwa kuelezea madhara ya bangi uliyovuta
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hata Bashite hakumbuki jina lake alilipewa na wazazi wake!
 
Back
Top Bottom