Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

Mkuu leo huwakumbushi kununua Gari?

šŸ˜€ šŸ˜€
 
Za kibongo itakuwa vzuri zaidi mkuu! Shukran
 
Dah man acha kabisa hii kitu ukiendekeza maujinga haya unaweza hama kwenye raman
 
Kiss my love goodbye
Love lost
Shepherd
Memories
Zote hizo by Jahmie
 
Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout
Msaada tafadhali waungwana!!

DEUCES REMIX_ CRISS BROWN,TIGA, E.t All

CHUKUA TIME_ SUMA MNAZALET FT OMMY DIMPOZ

NIACHE_DIAMOND PLATINUM

BASI NENDA_ MO MUSIC

Kwenye singeli😊

Kuna kibwagizo NIMEKUTANA NA EX_WANGU kakonda MBWA Yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…