Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

Mimi Sina nyimbo ya kukupa, ila nakushauri ukae mbali na vitu vyenye ncha Kali/bastola n.k

Maisha bado ni matamu haya

Kumbuka kabla hujakutana na huyo Mpenzi wako aliyekuacha bado ulikuwa ukiishi
 
Nyimbo za kitanzania baada ya kuachana huwa kama vita. Wasanii wanashindwa nini kuimba kama Boyz II Men kwenye wimbo wao wa I'm doing just fine?
 
Mzee wa Bwax- Nimekutana na ex wangu, kakonda Mbwa yule
Akon - Lonely
Camylio - Sometimes
Mariah Carey - Love takes time
Ed Sheraan - Happier
Kelly Clarkson - Stronger
Leona Lewis -Better in Time
Camylio - Love and Hate
Lukas Graham - Lie
Enrique - Somebody's Me
Kanye West -Heartless
 
Tatizo lenu vijana mnawekeza sana kwa wanawake. Mtateswa sana na malaya

Hivi kweli malaya akufanye mpaka udownload nyimbo za kujifariji kama sio usenge ni nini?

Wanawake wengi miaka hii ni malaya ukiwazingatia sana utaumia. Malaya ni kama kunguru hafugiki

Ukiwa na mahusiano na mwanamke yoyote mchukulie kama malaya muuza uchi

Huwezi kuumia hata siku moja kuona malaya uliyemnunua leo kesho ananunuliwa na mwanaume mwingine
 
Mbona sijaon ile inaitwa Andazi

ex na andazi nachagua andazi
ex na bia nachagua bia😂😂
 
Separated by Usher Raymond.......nakusisitiza sikiliza huu Kwa makini neno Kwa neno kwenye mdundo standard.Baadae lete mrejesho
 
Tatizo lenu vijana mnawekeza sana kwa wanawake. Mtateeswa sana na malaya

Hivi kweli malaya akufanye mpaka udownload nyimbo za kujifariji kama sio usenge ni nini?

Wanawake wengi miaka hii ni malaya ukiwazingatia sana utaumia. Malaya ni kama kunguru hafugiki

Ukiwa na mahusiano na mwanamke yoyote mchukulie kama malaya muuza uchi.

Huwezi kuumia hata siku moja kuona malaya uliyemnunua leo kesho ananunuliwa na mwanaume mwingine
Eheheheh. Mkuu hii jeki ya greda unaitumia kwenye bodaboda
 
Eheheheh. Mkuu hii jeki ya greda unaitumia kwenye bodaboda
Inasikitisha sana mkuu kuona kutwa nyuzi za vijana wanalialia kama machoko kisa wanawake

Yaani wamekuwa legevu kabisa, kama vile visanii vya Kikorea na Kifilipino kutwa kujiliza kwa wanawake

Usenge sana huu

Hivi kweli mwanaume utafute nyimbo za kumsimamga mwanamke?
 
Vijana wanaumizwa na mengi nafikiri sasa wanachanganyikiwa.
Ujue mpaka kufikia maturity ambayo wengine tumejaaliwa it takes experience 😂😂
 
Bizman - nipe muda
Rayc - wanifuatia Nini
Maua - Katikati
Alikiba - Maumivu per day
Alikiba - mahaba
Alikiba - mbio
 
Back
Top Bottom