Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,128
Reaction score
7,899
Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo,

Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa,

Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena?

Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile

Screenshot_20220404-023309.jpg
 
Screenshot_20220404-024324.jpg
Screenshot_20220404-024324.jpg
nikibofya hapo kwenye "gate started" inanipeleka hapa👆 na ndio inakiwa mwisho hapo
 
Wakuu mawazo yenu tafadhali, nifanyeje
 
Ingia kwenye App ya Facebook kupitia settings za simu yako kisha futa akiba zote na uilazimishe app ikome.

Baada ya hapo ifute kabisa app yako kisha install mpya na kisha register account mpya au jaribu kulogin kwa account yako ya zamani.
 
Ipe muda watai unlock for security reason...
 
Utahitaji identification kwa ajili ya kuiunlock hiyo akaunti mkuu, fuata maelekezo watakayokupata mkuu
 
Facebook users around the world have been waking up to find themselves locked out of their accounts for no apparent reason.
The message many received reads: "Your Facebook account was disabled because it did not follow our Community Standards. This decision can't be reversed."
One user told the BBC there was no warning or explanation given.
Parent firm Meta said it was investigating.
 
In a tweet, Meta's Andy Stone said: "We're aware that some users are experiencing issues accessing their Facebook accounts and we are working to resolve them as quickly as possible."
He did not say how many were affected, or what the issue was.
PR consultant Jen Roberts was one of those to find herself locked out of her account. She told the BBC: "I haven't posted anything or commented for quite some time, so it's extremely unlikely that I've done anything that could be construed as offensive."
But, despite not being an avid user, finding her account locked was still upsetting: "All of the images from my university years and family occasions are on Facebook
"I will no longer have access to 15-plus years of content, which is genuinely sad.
"It is also quite stressful not knowing what the issue is, and having no recourse to resolve it. To be given no warning and then no way to access our own data is mindboggling."
 
Back
Top Bottom