Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Habari za mda huu,.
Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu...
Nimeweza kurudisha contacts na picha kwasabu nilisave kwenye google Account,. Messeges nimeshindwa kabisa.
Wakuu tafadhalini naomba mnisaidie/mnielekeze narudishaje messages zangu zote za since 2021 maana zote ni za muhimu sana 😥😥🙏🙏
Ni samsung Galaxy s8+