Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
- Thread starter
- #21
Nadhani ni huyu Chief-Mkwawa nimejaribu Pm naona inazingua kutuma messages.
Chief-Mkwawa msaada wako tafadhali🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni huyu Chief-Mkwawa nimejaribu Pm naona inazingua kutuma messages.
Mkuu ni za muhimu sana ukizingatia huwa sisave namba za watu wote,.Na zingine ni confirmations za miamala duh😓Kimfaacho mtu chake aisee!
Sasa meseji si ujumbe mfupi ukisha usoma ujumbe umefika kisha hauna kazi tena!
Zipo app za kurudisha sms lakini ila sio kwa ukamilifu
Mkuu… Rudisha simu ya mpenzi wako kama ilivyo, mapenzi hayaitaji hasira!?Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya
Like serious?🤔Mkuu… Rudisha simu ya mpenzi wako kama ilivyo, mapenzi hayaitaji hasira!?
Message zinarudi ikiwa umechagua wakati una initialize simu, ulivyoformat simu kama uliclick skip skip haziwezi rudi.Habari za mda huu,.
Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space imejaa,. Kila kitu kimefutika icluding messages, contacts na kila kitu...
Nimeweza kurudisha contacts na picha kwasabu nilisave kwenye google Account,. Messeges nimeshindwa kabisa.
Wakuu tafadhalini naomba mnisaidie/mnielekeze narudishaje messages zangu zote za since 2021 maana zote ni za muhimu sana 😥😥🙏🙏
Ni samsung Galaxy s8+
Ulirestart simu ama uli reset?Habari za mda huu,.