Genius Mzee
Member
- Jul 29, 2021
- 50
- 222
Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography.
Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba aniunganishe na shule.
Kiwango changu Cha elimu ni shahada ya ualimu.
Mwenye kuweza kuniunganisha popote Tanzania nipo tayari kwenda kufanya kazi.