Genius Mzee
Member
- Jul 29, 2021
- 50
- 222
Offer yako bossWakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography.
Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba aniunganishe na shule.
Kiwango changu Cha elimu ni shahada ya ualimu.
Mwenye kuweza kuniunganisha popote Tanzania nipo tayari kwenda kufanya kazi.
Daaah!miaka sita na bado haujapata kazi serikalin mpka sshv...Mungu akutangulie tu upate ingawa Mimi mwenyewe joblessWakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography.
Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba aniunganishe na shule.
Kiwango changu Cha elimu ni shahada ya ualimu.
Mwenye kuweza kuniunganisha popote Tanzania nipo tayari kwenda kufanya kazi.
AsanteKila la kheri mkuu
AsanteKila la heri
Offer ynasikil
Nangoja offa yako mimiOffer yako boss
Okay sawq kila la heri piaDaaah!miaka sita na bado haujapata kazi serikalin mpka sshv...Mungu akutangulie tu upate ingawa Mimi mwenyewe jobless