Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
wakuu kama kichwa japo juu.

Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version.

Natanguliza shukrani.
 
Aisee
Umefika mbali hivi halafu unarudi nyuma tena miongo BC na AD.
 
Barikiwa sana man nilikua nafikiria kupata kitu kama hiki... Angalau tuwe tunapata vifungu kidogo kidogo tukiwa tumepumzika...
 
Nitashukuru sana.
Nadhani ni vizuri mkuu ukatuma hapa ili watu wengi wanufaike na injili isonge mbele
Aisee
Umefika mbali hivi halafu unarudi nyuma tena miongo BC na AD.
Utarename hilo file kwa kuondoa .mp3 extension
then utaunzip
then kwenye folder utaona file index.html
hiyo file utaifungua then Biblia itafunguka kupitia browser

Unaweza kutengeneza shortcut katika desktop au kuibookmark(kuiweka katika favourites) page ya browser yako

Nawatakia usomaji mwema
Your browser is not able to play this audio.
 
Asante nilikuwa nataka setup kabisa ambayo unatumia hata offline.
Huwa ipo, sema nimesahau namna ya kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…