Mkuu huyu mtoto siwez mwacha,..tutajifunza hukohuko ukubwan,maana mi mwenyew nimechafua saaana,halaf ni mtoto wa mjin,huyu mtoto ni mpole mzur mtakatifu,kananipenda sana kananiita mnyamwezi..so haka katoto nadhan ntaendana nako mkuu,...ntakavumilia kale ujanaKha we ndo unatafuta kilio ch uzee,hebu acha bint ale ujana wake kwanza akili imfungukr anatka nini maishan ukimuwahisha akili akajamfungukia ndoan utalia
umri siku hizi sio issue wazee wa 50 watakachukua ukichelewaWakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa.
Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe huko...je umr huu haka katoto kwel tutaenda sawa?
N.b mi mwaka huu mwishon ndo naiaga 20s,naingia uwanda mwingne,..
Binti ana 20 net.
Sorry typing error hapo kwenye gape=gap......
Go ahead ila tusikuone huku jf ukilialia mke wangu hivi oh kabdilika mara anasali misa za ijumaa anarud jmos shauriloMkuu huyu mtoto siwez mwacha,..tutajifunza hukohuko ukubwan,maana mi mwenyew nimechafua saaana,halaf ni mtoto wa mjin,huyu mtoto ni mpole mzur mtakatifu,kananipenda sana kananiita mnyamwezi..so haka katoto nadhan ntaendana nako mkuu,...ntakavumilia kale ujana
Nmekwepa mishale ming hata wivu sina skuhiz,ila nahis mbele ya haka kabint wivu utakuepo.
Wacha wachukue hao wanafwatwa na hela zao vijana tunafatwa kwa mashine zetu na wanatuletea mbesa toka kwa hao wazeeumri siku hizi sio issue wazee wa 50 watakachukua ukichelewa
na haya mavyakula na pombe kuna wazee ni mashine kuliko vijana.wazee wa Kiswahili project yao ni kutunza mashine na anaweza akachukua ya kwako wanaliza watoto kama wanaume wa mikoani ha hahWacha wachukue hao wanafwatwa na hela zao vijana tunafatwa kwa mashine zetu na wanatuletea mbesa toka kwa hao wazee
Labda wazee wa mikoan siyo hawa wa dar kazi kufia juu ya vifua kisa viagra ba Red Bullna haya mavyakula na pombe kuna wazee ni mashine kuliko vijana.wazee wa Kiswahili project yao ni kutunza mashine na anaweza akachukua ya kwako wanaliza watoto kama wanaume wa mikoani ha hah
Sasa hapa unaomba ushauri wa nini wakati ushafanya maamuzi?Mkuu huyu mtoto siwez mwacha,..tutajifunza hukohuko ukubwan,maana mi mwenyew nimechafua saaana,halaf ni mtoto wa mjin,huyu mtoto ni mpole mzur mtakatifu,kananipenda sana kananiita mnyamwezi..so haka katoto nadhan ntaendana nako mkuu,...ntakavumilia kale ujana
Nmekwepa mishale ming hata wivu sina skuhiz,ila nahis mbele ya haka kabint wivu utakuepo.
Watu wanamsaidia hivi unadhan isingekuwa pesa angempata yule mrembo,?Hahahah,kwel mkuu,...kama mzee meng ana katoto kadogo vile itakua mim
Hahahah,umeona maneno hayo mkuu,..hii ndo gap sahih mkuu,mtoto mbich,yaan ukikasogelea kananukia maziwa kabsaa,ni kazur balaaNdio gap sahihi mkuu, wale wa kupishana miaka miwili baada ya muda mkitembea pamoja watu wanaweza dhani unatembea na bibi yako.