Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa.
Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe huko...je umr huu haka katoto kwel tutaenda sawa?
N.b mi mwaka huu mwishon ndo naiaga 20s,naingia uwanda mwingne,..
Binti ana 20 net.
Sorry typing error hapo kwenye gape=gap......