Wakuu,my new project nmeipita miaka 9 niko sahih na hyo gape,ni kabint udsm 1st yr.

Kwan mi nna miaka 55,..mi nna 29 bado sana
 

Mjomba 55years huyo ni mzee kbs man!huwezi kumfananisha mtu wa under 40 na over 50
 
Ukiwa muislamu kama Mimi utakuwa unajua kipenzi chetu alioa binti Wa miaka 9
Sembuse 20!!
 
miaka 20 mnafikiria ndoa!?...kweli mmekutana na mambo yote ya dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…