Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan mi nna miaka 55,..mi nna 29 bado sanaMtaani kwetu kuna mzee ana miaka kama 55 hivi. Ana watoto 9 alozaa na mama.tofauti tofauti . Huyu mzee ni mtu wa bata sana msanii wa mjini na hajasoma. Baada ya kuona umri unamtupa mkono na hajaoa akaoa mdada mmoja bat mad nae mpuuzi tu. Akisafiri dada anatrmbea mpaka na wauza urembo wanaopita nyumbani kwake.juzi mwanzoni mwa mwaka dada alitoroka nyumbani na kwenda kuishi kusikojulikana.alivyoshinfwa na maisha akarudi na kumwambia mzee.alirubuniwa na jamaa hafi akampa papuchi.kwakua.mzee ni mpuizi akamdai jamaa fidia ya pesa ili wamalizanr ati kwakuwa anatrmbea na mkewe.kuwa makini sana na under age
Endelea kuamini bado sana .mm nimekupa mfano tu wa jinsi utofauti wa umri unavyosumbua huko mbele ya safariKwan mi nna miaka 55,..mi nna 29 bado sana
Mtaani kwetu kuna mzee ana miaka kama 55 hivi. Ana watoto 9 alozaa na mama.tofauti tofauti . Huyu mzee ni mtu wa bata sana msanii wa mjini na hajasoma. Baada ya kuona umri unamtupa mkono na hajaoa akaoa mdada mmoja bat mad nae mpuuzi tu. Akisafiri dada anatrmbea mpaka na wauza urembo wanaopita nyumbani kwake.juzi mwanzoni mwa mwaka dada alitoroka nyumbani na kwenda kuishi kusikojulikana.alivyoshinfwa na maisha akarudi na kumwambia mzee.alirubuniwa na jamaa hafi akampa papuchi.kwakua.mzee ni mpuizi akamdai jamaa fidia ya pesa ili wamalizanr ati kwakuwa anatrmbea na mkewe.kuwa makini sana na under age