Awoooteeee mkuu kwanza hongera kwa kuamua kutafuta gari ambayo mapopoma wengi wanaiogopa ila kikubwa cha kuzingatia ni ukaguzi tena ukiwa na mtu anaejua magari vizuri au kama wewe mwenyewe ni mjuzi itakua poa sana. Brevis nyingi mjini injini ni mtori hazina safari ila bodi bado mbichi ukichukua hizi zinasumbua ndio pale utaichukia brevenga mbali na hapo nikutakie kila lenye kheri kwenye comfortability perfomance na unyama mwingi hapo road mafuta si kitu ni kama mkojo wa shetani tu.
Zingatia ubora uenjoy mjini