digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,572
- 2,286
Mwenye anauza brevis yake anifate DM......sio za madalali sijui stori za gari ya mdada mara mzungu anarudi kwao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2820083
Hii mwanangu aliivuta 5.4 iliingia bodi kidogo hapo kwenye taa ya kulia ila injini msumari sana kiufupi aliotea ndinga mkononi alafu kali. Brevis ni unyama flani ila mapopoma wanauogopa tu
Mkuu watu tunatiana uoga tu mimi mwenyewe jamaa alivyonambia atakamata brevis nilistuka nikawa namkwepa kila akiniambia nakuja town namwambia niko busy bas majuzi nikasema liwalo na liwe yeye ni mjuzi wa magari ukaguzi atafanya yeye mimi ni vitu vidogo vidogo ndio ntakagua basi tumezunguka sku ya kwanza siku inayofuata akakamata ndinga na katembea dar moshi zaidi ya 500km na hajasema kama inasumbua zaidi anaisifia mimbio na utulivu roadUnyamwezi mwingi sana humu