okKwa hilo cheko mchukue tu bwashee π
Mimba hiyo trimester ya pili
Kwa uchunguz wangu ni kua bandama zako zimejamππππ
π€π€πNaona I'd za MTU mmoja Zikishindana kuandika emojis za kicheko
Weka mafuta ya taa kwenye chakula pia jitahidi upande mwendokasi au daladala ubambiebambie tatizo litaisha.ππππ
Umenote ni mtu anapost afu anacheka na id yake nyingine? VAR checkMkuu kama nilivyosoma michango ya wengine , na mimi nahitimisha kusema ufanaa udinywe tu bwashee π€