Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini).
Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha.
Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari kamefifiaaaaaaa sanaaaaaa kaka , yaan Kamefifia sanaaa kanaonekana Kwa mbaliiiii ila mstari wa C umekoleza.
Nikajua tayari hiyo ni WEAKLY REACTIVE ( yaan Manzi ana Umeme) ila jamaa anatafuta namna ya kuni manipulate ili aendelee na uzinzi 🤣🤣 Sasa Mimi Huwa sipendi Mwana apotee kizembe 👇
Kwakua nilimsikia mazungumzo akiwa na demu, sikutaka niongee kwenye simu demu akisikia.
Nikamwambia hanaaaa, nikamsikia Demu anaßme "Sasa je " ila hapohapo nikamtumia meseji, Oyaaaa oyaaaaaa Usile mdemu kavu, haukujibu... Oyaaa oyaaaaa nmemtumia meseji kama tatu ndo akaanza kujibu.
Kumbe alifuata Ushauri wangu,
Kakuta huyo dada kaungua
Wakuu, naendelea kusisitiza, Unapokua umepanga kuonana na mwanamke Kwa mara ya kwanza na hamjawah pina Afya, Basi usinywe Pombe, angalau ubakishe ka akili ka kukumbuka Msomi na hata kupima.
UKIMWI UPO!!.