Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

Wa hivyo hata ukimtumia msg unaona anakuibukia na Calll live.....Unasemaje?πŸ˜…πŸ˜…
Hakika ,jamaa hapo amejitahidii sana sana , na nadhan nayeye hakutaka demu asikie nachomshauri, hivo kajitutumua kujibu .

Wakati fulan unaweza kubali kua haya Maisha Kila MTU ana lake !!.
 
Hakika ,jamaa hapo amejitahidii sana sana , na nadhan nayeye hakutaka demu asikie nachomshauri, hivo kajitutumua kujibu .

Wakati fulan unaweza kubali kua haya Maisha Kila MTU ana lake !!.
Watu wengine hawakupata fursa ya kwenda shule kutokana na Situation na circumstances lakini haimanishi kwamba hawana Akili.

Wasomi tumejenga kasumba kwamba mtu ambayw hajaenda shule basi tunamchukulia hana akili
 
Huyo Jamaa anavyo andika tu utajuwa ni Msukuma au Muha kavamia mji na anashobokea machangu wanaojichubua. Ungemwacha tu ale huyo demu, ugonjwa si wake wewe unakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…