wakuu! nakaribia kuchizi! nisaidieni

wakuu! nakaribia kuchizi! nisaidieni

millcent5

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato
 
Hebu nitumie kwa mpesa nijue tuzifanyie nini hususan sikukuu
 
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato

Eleza uko mkoa gani,taaluma yako ndopo utapata mawazo sahihi.
 
Let's be serious wakuu. Mleta mada anaomba ushauri. Tuache mizaha na tulitumie jamvi hili kwa busara na hekima.
Tuendelee kuelimishana kama ilivyo jadi ya jukwaa hili.
Merry Christmas kwa wote - members na guests.
 
Ndugu yangu usipokaa sawa utaangukia mikononi mwa matapeli na utalia na moyo wako. Huko uliko nunua plot au shamba kwa kufuata njia halali then tunza risit. Ni sawa na kuweka fixed deposit.
 
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato

Ni vizuri umeleta suala lako kwenye hii forum. Mimi ningekushauri uanzishe biashara ya kutengengeneza na kuuza mkaa wa kisasa. Mimi natoa mafunzo yatakayokuwezesha kuanzisha biashara yako kwa mtaji mdogo sana hata kama ni sh 5000 tu. Nipigie 0758 308193
 
Humu kumbe kunamatapeli! Sasa mtu unaomba ushauri anakwambia nitumie mpesa
 
Kama una eneo la kutosha ambalo halina muingiliano na makazi ya watu, nunua mtetea (kuku jike au koo) 8 na Jogoo 2 wa kienyeji. Jenga mabanda simple yenye sehemu za kutagia na mahali pazuri pa kuhifadhi maji ya kunywa na chakula cha kuku, nakushauri kama utaafikiana na mradi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji anza kwa kufuga ufugaji wa kuwafungia ndani, usiwe unawaachia kwanza mpaka hapo watakapokuwa wengi sana! Mi nakuhakikishia hautatumia hata laki 5 katika maandalizi ya ufugaji huo na baada ya mwaka mmoja utakuwa na uwezo wa kuzalisha milioni nyingine nyingi kama ukiwa serious na ufugaji wa kuku wa kienyeji! Nakutakia kila la kheri.
 
Wazo zuri, laki kwa vyovyote yuko nyumba ya kupanga, na kwa anavoonekana anataka project itayoanza kumlipa mara moja ili aweze kuendelea na maisha, dah! Millioni moja naona kama ndogo vile kwa situation ya huyu mkuu, especially kwa vile he can not afford to risk!!! millcent5 hapa ishu ngumu mkuu, sababu biashara yoyote utayoanza hasa za uchuuzi itataka usimamizi wako kwa asilimia nyingi, ni heri usubiri msimu wa kukusanya mazao mkuu, hizi mishe za mjini tuachie sisi wabishi!
 
Last edited by a moderator:
Kama sikosei huyu mkuu nadhani ameajiriwa, na kwa minajiri hiyo sidhani kama miradi yenye kuhitaji usimamizi haitamfaa kabisa, kuku wanajisimamia wenyewe, we ni kuwahakiki tu asubuhi kabla haujaenda kazini kama wana maji ya kutosha na chakula na jioni kuwachek tena kabla hawajalala! Mi naamini sana kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa sbb ni mradi ambao nimeshaufanya na nimefanikiwa kiasi chake japo ni kwa muda mfupi!

Wazo zuri, laki kwa vyovyote yuko nyumba ya kupanga, na kwa anavoonekana anataka project itayoanza kumlipa mara moja ili aweze kuendelea na maisha, dah! Millioni moja naona kama ndogo vile kwa situation ya huyu mkuu, especially kwa vile he can not afford to risk!!! millcent5 hapa ishu ngumu mkuu, sababu biashara yoyote utayoanza hasa za uchuuzi itataka usimamizi wako kwa asilimia nyingi, ni heri usubiri msimu wa kukusanya mazao mkuu, hizi mishe za mjini tuachie sisi wabishi!
 
Wakuu! Mimi ni mdau mpya humu!ninarafiki yangu ndo alinielekeza huku baada ya kumuelezea kuhusu maisha yangu na kumuomba ushauri,mimi wakuu nimegraduate mwaka huu! Nilifanikiwa kupata mahali pa kujishikisha posho kwa mwez nimekua nikisave,lunch nimejibana hua naweka,transport nayo nabana,mpaka sasa nimefikisha m1, wadau nisaidieni nifanye ishu ipi? Nimeangalia swala la mpunga kununua lakini had msimu wa mpunga hi m1 ingekua imesha zunguka!nisaidieni wadau nifanye ishu gani? Naona pikpik zimekua nyingi,mpesa na tigopesd nazo nyingi! Nifanyeje wadau nipeni michakato

ndugu yangu..uko katika mtiririko mzuri usikate tamaa..kama umefikisha milion moja ujue unaweza fikisha milion 2 au zaid ukiendelea...., kuhusu kufanya biashara usiangalie watu wako wangapi wanafanya hiyo biashara...fikiria wapi utaweka biashara ya boda boda, au simu-mpesa...bado kuna sehem kuna fursa...usiangalie mjini anaglia pia pembezoni hata katika mabar, stend nk. pia kama uko dsm angalia sehem zinakuwa kwa haraka kama vile mabwepande, bunju, pugu pugu huko, ukipata frem weka saloon ya kiume haizdi hata lak 6 pamoja kodi ya miez mitatu...weka viti 2 mashine 2..wape vijana wakupe buku 5 kila mmoja kila siku...umeme juu yao kila kitu.....maeneo hayo uwezi kulipa kodi ya zaid ya 50,000 kwa mwezi....usijiingize kwenye biashara za moja kwa moja bcoz of time...wewe tengeneza mtaji mtu afanye kazi nae a[pate faida na ww pia...sio kama ukaguz daily,,,,pia kuna biashara ya maji katika mitaa ya ugumu wa maji dsm chunga matoroli nunua madum kabdhi vijana wape kazi yao kuleta ushuru wa toroli daily.....kikubwa kuwa na nidham ya biashara.....ukishindwa kabisa fuata ushauri wa kuku..lakini hama mjini unaweza kufanya kaz huku umepanga boko, kisarawe, kibamba, kapange sehem yenye kuweza kufuga....la msing usiache kazi yako iliyokupa hiyo mil 1........nina mifano mingi sana ya kujiinua katka mitaji midogo kikubwa ondoa ubishoo katika kazi yenye kuleta kipato.......
 
ndugu yangu..uko katika mtiririko mzuri usikate tamaa..kama umefikisha milion moja ujue unaweza fikisha milion 2 au zaid ukiendelea...., kuhusu kufanya biashara usiangalie watu wako wangapi wanafanya hiyo biashara...fikiria wapi

utaweka biashara ya boda boda, au simu-mpesa...bado kuna sehem kuna fursa...usiangalie mjini anaglia pia pembezoni hata katika mabar, stend nk. pia kama uko dsm angalia sehem zinakuwa kwa haraka kama vile mabwepande, bunju, pugu pugu huko, ukipata frem weka saloon ya kiume haizdi hata lak 6 pamoja kodi ya miez mitatu...weka viti 2 mashine 2..wape vijana wakupe buku 5 kila mmoja kila siku...umeme juu yao kila kitu.....maeneo hayo uwezi kulipa kodi ya zaid ya 50,000 kwa mwezi....usijiingize kwenye biashara za moja kwa moja bcoz of time...wewe tengeneza mtaji mtu afanye kazi nae a[pate faida na ww pia...sio kama ukaguz daily,,,,pia kuna biashara ya maji katika mitaa ya ugumu wa maji dsm chunga matoroli nunua madum kabdhi vijana wape kazi yao kuleta ushuru wa toroli daily.....kikubwa kuwa na nidham ya biashara.....ukishindwa kabisa fuata ushauri wa kuku..lakini hama mjini unaweza kufanya kaz huku umepanga boko, kisarawe, kibamba, kapange sehem yenye kuweza kufuga....la msing usiache kazi yako iliyokupa hiyo mil 1........nina mifano mingi sana ya kujiinua katka mitaji midogo kikubwa ondoa ubishoo katika kazi yenye kuleta kipato.......

Hapo umenena mkuu! La kuku wazo zur ila me nimepanga kwaiyo inauhitaji wa eneo! kuhusu m pesa au tigo pesa! M 1 inatosha?
 
Wazo zuri, laki kwa vyovyote yuko nyumba ya kupanga, na kwa anavoonekana anataka project itayoanza kumlipa mara moja ili aweze kuendelea na maisha, dah! Millioni moja naona kama ndogo vile kwa situation ya huyu mkuu, especially kwa vile he can not afford to risk!!! millcent5 hapa ishu ngumu mkuu, sababu biashara yoyote utayoanza hasa za uchuuzi itataka usimamizi wako kwa asilimia nyingi, ni heri usubiri msimu wa kukusanya mazao mkuu, hizi mishe za mjini tuachie sisi wabishi!

Hapo mkuu unakua selfish,kwan wewe umetokaje na hzo mishe za town!uliamka ukazijua? C nepata kwa watu?acha hzo mambo
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu..uko katika mtiririko mzuri usikate tamaa..kama umefikisha milion moja ujue unaweza fikisha milion 2 au zaid ukiendelea...., kuhusu kufanya biashara usiangalie watu wako wangapi wanafanya hiyo biashara...fikiria wapi utaweka biashara ya boda boda, au simu-mpesa...bado kuna sehem kuna fursa...usiangalie mjini anaglia pia pembezoni hata katika mabar, stend nk. pia kama uko dsm angalia sehem zinakuwa kwa haraka kama vile mabwepande, bunju, pugu pugu huko, ukipata frem weka saloon ya kiume haizdi hata lak 6 pamoja kodi ya miez mitatu...weka viti 2 mashine 2..wape vijana wakupe buku 5 kila mmoja kila siku...umeme juu yao kila kitu.....maeneo hayo uwezi kulipa kodi ya zaid ya 50,000 kwa mwezi....usijiingize kwenye biashara za moja kwa moja bcoz of time...wewe tengeneza mtaji mtu afanye kazi nae a[pate faida na ww pia...sio kama ukaguz daily,,,,pia kuna biashara ya maji katika mitaa ya ugumu wa maji dsm chunga matoroli nunua madum kabdhi vijana wape kazi yao kuleta ushuru wa toroli daily.....kikubwa kuwa na nidham ya biashara.....ukishindwa kabisa fuata ushauri wa kuku..lakini hama mjini unaweza kufanya kaz huku umepanga boko, kisarawe, kibamba, kapange sehem yenye kuweza kufuga....la msing usiache kazi yako iliyokupa hiyo mil 1........nina mifano mingi sana ya kujiinua katka mitaji midogo kikubwa ondoa ubishoo katika kazi yenye kuleta kipato.......

Mkuu me wa rock city! Maji huku ya kumwaga,pkpk ndo usiseme labda nifanye mkoani nalo ni changamoto! Me naona nitafute shamba ninunue af niliweke bond nipewe mkopo kama m3 hv! Hapo vp mkuu
 
Back
Top Bottom