ndugu yangu..uko katika mtiririko mzuri usikate tamaa..kama umefikisha milion moja ujue unaweza fikisha milion 2 au zaid ukiendelea...., kuhusu kufanya biashara usiangalie watu wako wangapi wanafanya hiyo biashara...fikiria wapi
utaweka biashara ya boda boda, au simu-mpesa...bado kuna sehem kuna fursa...usiangalie mjini anaglia pia pembezoni hata katika mabar, stend nk. pia kama uko dsm angalia sehem zinakuwa kwa haraka kama vile mabwepande, bunju, pugu pugu huko, ukipata frem weka saloon ya kiume haizdi hata lak 6 pamoja kodi ya miez mitatu...weka viti 2 mashine 2..wape vijana wakupe buku 5 kila mmoja kila siku...umeme juu yao kila kitu.....maeneo hayo uwezi kulipa kodi ya zaid ya 50,000 kwa mwezi....usijiingize kwenye biashara za moja kwa moja bcoz of time...wewe tengeneza mtaji mtu afanye kazi nae a[pate faida na ww pia...sio kama ukaguz daily,,,,pia kuna biashara ya maji katika mitaa ya ugumu wa maji dsm chunga matoroli nunua madum kabdhi vijana wape kazi yao kuleta ushuru wa toroli daily.....kikubwa kuwa na nidham ya biashara.....ukishindwa kabisa fuata ushauri wa kuku..lakini hama mjini unaweza kufanya kaz huku umepanga boko, kisarawe, kibamba, kapange sehem yenye kuweza kufuga....la msing usiache kazi yako iliyokupa hiyo mil 1........nina mifano mingi sana ya kujiinua katka mitaji midogo kikubwa ondoa ubishoo katika kazi yenye kuleta kipato.......