Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Ningekupa kazi ila isivyobahati sina gari, Mimi ninatumia fisi na punda kwa usafiri.Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu.
Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva.
Mimi ni professional Driver.
Nimesoma Basic Driving Veta Cheti ninacho
Nimesoma Professional Driver kwenye chuo cha National Institute of Transport (NIT) course ya PSV C1 cheti ninacho.
Leseni ya udereva ninayo pamoja na Cheti cha kidato cha nne.
Utakapo sikia Kazi ya kumuondesha boss au Kazi za kwenye miradi basi nipigie simu 📞 0754793556
Hahahha wee Mzee miyeyusho saanaNingekupa kazi ila isivyobahati sina gari, Mimi ninatumia fisi na punda kwa usafiri.
Naamini wenye magari watakusaidia.
Hahaha 😂.Hahahha wee Mzee miyeyusho saana
Mzee wangu hiyo Kazi ni yakina petiti,Masha love,stive Nyerere kiufupi ni Kazi ya Bongo movieUdalali wa kuunganisha wapenzi uli kushinda mkuu?
Nili shangaa ulivyo ipapatikia, nikajua wahuni nawe wame anza kukukamatia mzee wangu.Mzee wangu hiyo Kazi ni yakina petiti,Masha love,stive Nyerere kiufupi ni Kazi ya Bongo movie
Yani demu pisi kali nianze kuimbisha Kwa mwanaume mwenzangu aaa sio poa kabisa mkuuNili shangaa ulivyo ipapatikia, nikajua wahuni nawe wame anza kukukamatia mzee wangu.
Shukran kakaKuna tangazo nililiona sehemu fulani wanaitaji dereva ngoja nipekuepekue browser history nakurudia
Sema ndio experience za mjini, siku nyingine uwe tu makiniYani demu pisi kali nianze kuimbisha Kwa mwanaume mwenzangu aaa sio poa kabisa mkuu
Ila we jamaa sijui ukivuta bangi moshi unatolea wapi🤣Ningekupa kazi ila isivyobahati sina gari, Mimi ninatumia fisi na punda kwa usafiri.
Naamini wenye magari watakusaidia.
Acha kunichota maakili sifanyagi hizo mambo 😂Sema ndio experience za mjini, siku nyingine uwe tu makini
Mkuu, nazungumza ukweli mtupu 😂.Ila we jamaa sijui ukivuta bangi moshi unatolea wapi🤣
Acha uoga, leo hii unasema hupendi togwaAcha kunichota maakili sifanyagi hizo mambo 😂
TANGAZO LA NAFASI YA KAZIShukran kaka
Shukran mkuu nafanya hivyoTANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Tunatafuta Dereva wa Gari Ndogo.
Sifa za mwombaji:
•Awe na leseni halali ya udereva daraja B au zaidi
•Awe na uzoefu wa kuendesha gari usiopungua miaka 2
•Awe mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejituma kazini
•Afahamu vyema maeneo na Barabara za Dar es salaam
•Aweze kuwasiliana kwa lugha ya kiingereza
Waombaji watume maombi yao pamoja na nakala ya leseni na vyeti vya elimu kupitia WhatsApp: 0677163476
Mafaza wa ughaibuni mnazingua saana😂Acha uoga, leo hii unasema hupendi togwa
😅😅😅Ningekupa kazi ila isivyobahati sina gari, Mimi ninatumia fisi na punda kwa usafiri.
Naamini wenye magari watakusaidia.
Sasa umewekewa ugali mezani chezea bahati baada ya siku 2 unakuja tena kutuwekea bango, hapo ni wewe na goli tu kipa katoka sasa toa bokoShukran mkuu nafanya hivyo