Wakuu naomba Connection ya Kinglion Kibaha

Wakuu naomba Connection ya Kinglion Kibaha

Wana kiwanda huku Kibaha - Zegereni, ni kikubwa sana. Ila kipo katua hatua za mwisho mwisho za ujenzi.
Aseeh wako vizuri wachina nadhani coz nilikuwa na jamaangu alikuwa anafanya job hapo king lion ya makumbusho...
 
Nilikuwepo hapo wiki iliyoisha kiwanda cha kinglion niliitwa nikafanye interview ya umeme ila kwenye mshahara tulishindwana.

Namba ya hr wa hapo sikuisave mpk niitafute maana kuna namba nyingi ambazo sikusave nimewasiliana nao sana

Ofisi yao kubwa ipo makumbusho ghorofa kubwa kabisa kwa juu limeandikwa kinglion.Na hapo ndio kuna mahr wa kibongo na wafanyakazi wengi(ukifika hapo na ukiwapata unaweza ukapata mwanga zaidi)

Hapo kibaha kuna hr wa kichina tu na mchina mmoja wa kubagain pesa anaongea mpk kiswahili
kiongozi waweza nipa muongozo zaidi nahitaji kazi ya ufundi umeme hapo,sijui unanisaidiaje hapo?nimetuma cv lakn kmyaaa.
 
Back
Top Bottom