Wakuu naomba kufahamu bei ya hizi dawa

Wakuu naomba kufahamu bei ya hizi dawa

Acheni kujiharibu na tiba za ajabu ajabu,kula lishe nzuri,mazoezi, na usiwe na msongo wa mawazo utakuwa vizuri tu.
 
Mkuu tunajiua pasipo kujua

Na test mitambo
kuna jamaa mmoja nilimwangali youtube,alikuwa anafanyiwa upasuaji wa kunenepesha,wamechokonoa sehemu ya karibu na kibofu wakatoa mafuta na kuyapandikiza kwenye maungo yake;inasikitisha sana.Swali najiuliza, anafanya hivyo ili iweje,au ni ujana tu ndio unamsumbua.
 
Back
Top Bottom