Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeteuliwa?Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza.
Nitashukuru.
Asnte mkuu1.Taja sifa 5 za mpiga kura
2.Taja taasisi inayosimamia masuala yote yanahusu uchaguzi wa mkuu
3. Eleza maana ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura
4.Kompyuta ni nn?
5.Taja sifa 5 za mwendesha vifaa vya bayometriki
Ndio mkuuu
umeteuliwa?