Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza.
1.Taja sifa 5 za mpiga kura
2.Taja taasisi inayosimamia masuala yote yanahusu uchaguzi wa mkuu
3. Eleza maana ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura
4.Kompyuta ni nn?
5.Taja sifa 5 za mwendesha vifaa vya bayometriki
Unajisumbua bure tu izo nafas zote ni za vijana wa ccm labda na ww uwe ni miongoni mwao na kama ni miongoni mwao usisumbuke kutak kujua ayo maswali mtapewa maelekezo kweny ofisi za chama