Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

Wakuu Naomba Kuuliza Hapa NACTE Wana Maana gani?

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Naombeni kuuliza wataalamu je hapa Nacte wameshapokea matokeo ya mwanafunzi au bado au je hii pending inamaana gani?

IMG_20240905_134013.jpg
 
Angalia kule chini kwenye stutus 1 inaonyesha submmited ila iko under review 2 inaonyesha decline means imekataliwa na sababu kuna kitu kina miss. Hyo pending nikwamba bado iko hewani ikipokelewa wataandika kwenye stutus
 
Matokeo ya sem II wameyapokes ila bado hayajafanyiwa verification upate AVN yako.
 
Back
Top Bottom