Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelewayaani huwezi kusoma matokeo yako
Relevant document imemisi ndo maana Iko pending,hasa matokeo ya semisita ya piliNaona kama wamepokea matokeo ila bado hawajafanyia kazi labla kutokana na kuna kitu hakipo sawa