professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Hivi na ARVs nazo zina side effects za namna hiyo ya kuota unakimbizwa?Zaidi ya Kuota unakimbizwa hakuna madhara
Kwanza, uhakika upi ulionao kwamba hana? Mmepima wote na kujihakikishia kuwa kweli hana? Kama ndiyo, basi unaweza kuacha tu bila changamoto.Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu tu, je pep TLD inaweza kuwa na madhara yepi?
Dr nipo njia panda hapa, mana nimeanza Toka Jana, lakin huyu binti nilimwambia tukapima akasema yupo Tayari mana nilimdanganya kuwa nataka niishe nae kabisa, lakin akawa katigwa na kazi lakin mm nikawa na wasiwasi tu kuwa kwa mazingira yake HIV kukosa sio rahisi japo sija confirm ko Nika kimbilila CTC nikapewa pepKwanza, uhakika upi ulionao kwamba hana? Mmepima wote na kujihakikishia kuwa kweli hana? Kama ndiyo, basi unaweza kuacha tu bila changamoto.
Lakini kama ni yeye kakuambia tu, basi fikeni wote kwenye kituo vha afya kwa uchunguzi na uhakika zaidi.
Unaweza kuacha kuitumia baada ya kujiridhisha.
Kuhusu madhara, PEP haina madhara yeyote serious. Kichefuchefu, kuumwa kichwa, nk.
Cha kufahamu ni kuwa PEP ni matumizi ya dawa ya kufubaza virusi kwa muda mfupi (mathalani mwezi mmoja). Dawa za ARV hazina madhara makubwa zikitumika kiusahihi, vinginevyo zingeshazuiwa. Wapo watu wanaopata athari, lakini ni kwa kiwango kidogo sana.
Uyo binti anafanya kaz gan mzeeDr nipo njia panda hapa, mana nimeanza Toka Jana, lakin huyu binti nilimwambia tukapima akasema yupo Tayari mana nilimdanganya kuwa nataka niishe nae kabisa, lakin akawa katigwa na kazi lakin mm nikawa na wasiwasi tu kuwa kwa mazingira yake HIV kukosa sio rahisi japo sija confirm ko Nika kimbilila CTC nikapewa pep
Kumbe bado hujawa na uhakika. Endelea kutumia dozi.Dr nipo njia panda hapa, mana nimeanza Toka Jana, lakin huyu binti nilimwambia tukapima akasema yupo Tayari mana nilimdanganya kuwa nataka niishe nae kabisa, lakin akawa katigwa na kazi lakin mm nikawa na wasiwasi tu kuwa kwa mazingira yake HIV kukosa sio rahisi japo sija confirm ko Nika kimbilila CTC nikapewa pep
Uyo binti anafanya kaz gan mzee