Wapi mkuuFanya mpango tuonane, uje na namba ya NIDA tu basi mengine yanaongeleka.
Victoire acha masiharaApp inaitwa Abdul
WAmekuwa sana hawatoiMi naifahamu Branch
Dsm kinyerezi mwisho.Wapi mkuu
Sipo hukoDsm kinyerezi mwisho.
Upo wapi?Sipo huko
Pole sana mkuu wangu tafuta hata kazi za kujitolea tu, mkuu uwe unapiga au nenda kwenye kampuni za ulinzi ukaombe kazi huwezi kukosa.App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua,
Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu ππ
Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ€App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua,
Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu ππ