Wakuu naomba msaada na sitorudia tena

hizo ni dalili za kisobono basi mchukue huyo mwanamke mkapime wote
 
Kama kweli ulikuwa unatembea na binti huyohuyo tu, basi kabla ya kwenda hospitali muite ukae nae na umweleze ukweli wote ikiwa ni pamoja na kwenda naye hospitalini kwani ukitibiwa wewe tu haitakuwa imesaidia kumaliza tatizo.
 
Bro umeambulia kaswende,kachukuwe kombaakiti dawa 1 safi sana inapatikana ktk maduka ya mifugo,kisha chukua cc3 tafuta mtu akudunge utanipa siri ya mafanikio baada ya siku 1 mbeleni.
 
Mkuu hiyo ni gonolea nenda hospital fasta nakuwa muwazi kwa Doctar kama ulivyokwetu.
 
Tumia antibiotic yeyote kama vle amoxylin walau siku moja,ukiona maumivu yamepungua ujue ni gono hiyo,anza nazo leo asubuhi hii hafu kesho asu.ulinganishe maumivu.
 
inaitwa ni pangusa,
na hasa ni kwenu mnaoparamia miamba ya mjini bila tahadhari.
 
inaitwa ni pangusa,
na hasa ni kwenu mnaoparamia miamba ya mjini bila tahadhari.

usiseme kuparamia sex kila mtu hufanya ukifika wakati muafaka na huyu nilienae ndo mke wangu mtarajiwa,tafadhar mkuu behave yourself.ahsante kwa outfocus yako.
 
Tumia antibiotic yeyote kama vle amoxylin walau siku moja,ukiona maumivu yamepungua ujue ni gono hiyo,anza nazo leo asubuhi hii hafu kesho asu.ulinganishe maumivu.

kaka ni kweli nimetumia antibiotic jana leo asubuhi maumiv yamepungua,na kuna dawa nimepewa na doctor nimetumia kama wiki 1 lakin hali imerud palepale
 
Mkuu hiyo ni gonolea nenda hospital fasta nakuwa muwazi kwa Doctar kama ulivyokwetu.

kaka nimeenda hospital wiki mbili zilizopita na nikapewa dawa za aina tatu lakini na nilikua naendelea vizur ila hali imerud vilevile toka juz
 
Bro umeambulia kaswende,kachukuwe kombaakiti dawa 1 safi sana inapatikana ktk maduka ya mifugo,kisha chukua cc3 tafuta mtu akudunge utanipa siri ya mafanikio baada ya siku 1 mbeleni.
hiyo kombakiti inauzwa sh ngapi na cc3 ndo nini,nijuze tafadhar mkuu
 
Kama kweli ulikuwa unatembea na binti huyohuyo tu, basi kabla ya kwenda hospitali muite ukae nae na umweleze ukweli wote ikiwa ni pamoja na kwenda naye hospitalini kwani ukitibiwa wewe tu haitakuwa imesaidia kumaliza tatizo.

kaka tumeenda kupima yeye yupo fiti tatizo kwangu na nimetumia dawa walizonipa ndani ya wiki nikawa fresh lakini now hali imerud vile vile,unawazo mbadala mkuu?
 
Ilo Gono. Ugonjwa unaonekana haraka kwa mwanaume kuliko kwa mwanamke kutokana na sababu za kimaumbile. Nendeni wote wawili mkatibiwe
 
kaka tumeenda kupima yeye yupo fiti tatizo kwangu na nimetumia dawa walizonipa ndani ya wiki nikawa fresh lakini now hali imerud vile vile,unawazo mbadala mkuu?

dogo acha janjajanja na usipokuwa makini utamwambukiza mtoto wa watu asiyehusika na uki-borodinda wako.

sema ulimgonga nani nje ya mahusiano yako na huyu mchumba wako....na sema kwanini ulipoanza dozi ukakatisha baada ya wiki moja na ukaenda tena ku-gonga huko kwa malaya wako wa vichochoroni....

Na nimekusikia ukisema eti mwenzako ana-kiharufu usichokielewaelewa....kwa taarifa yako hicho ki-harufu ndio natural smell ya k...na ni nadra sana kuipata kwa waliokomaaa zaidi ya hivyo vitoto vichanga...ndo ukuwe ujuwe kwanini beberu hunusa k za majike na kusimamisha mashine..harufu hiyooo....tafadhali uwe unatanguliza heshima kwa kijiharufu hicho...sipendi dharau.

ushauri wa leo...dogo kuwa serious nenda hospital kapate tiba stahiki na ufuate masharti ya daktari or else...utalia na kusaga meno..mashine itakuwa haisimami tena na hivyo hutokuwa unakula mizigo hance mzigo wako utaanza kuliwa na kuwa bwabwajaloooo.
 
mwenyewe unaona umeongea point? Kumbe pumba tupu, ushasema beberu je kama anagusa na pua kujua k ilipo? Au ndo analamba kisimi? Au ndo mila zao kama wewe unavyolamba k za videm vyako? Please usikurupuke!.....samahani lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…