Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
ukipona urudi kutujulisha,pole sana kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni U.T.I Usiogope sio gono[/
mkuu U.T.I inasababishwa na nini?
dawa yke ni nn?
dawa yke ni nn?
UTI inasababishwa na njia nyingi,mojawapo ni ngono na nyingine ni matumizi ya public toilets hasa bar za uswahilini ambazo usafi ni nadra sana.dawa muone daktari atakupa ziko nyingi
Mkuu hiyo ni gonolea nenda hospital fasta nakuwa muwazi kwa Doctar kama ulivyokwetu.Za asubuh jamani,mimi ni mvulana ambaye nina girlfrnd,tunapendana na kuaminiana na tumeshaduu kama mara 10 hivi.
Ila siku hiz za karibuni nilikua nikiduu naye sehem zangu za siri zinaniuma sana tena sanasana sehem ambayo mkojo unatokea na sasa hivi nipo home naenda chooni kukojoa kabla sijakojoa nimekuta kitu kama usaha katika tundu linalotoa mkojo.kwa kifupi naumwa ila sijui naumwa nini na nitumie dawa gani ili nipone,naomben msaada wenu jamani.
natanguliza shukrani.
inaitwa ni pangusa,
na hasa ni kwenu mnaoparamia miamba ya mjini bila tahadhari.
Tumia antibiotic yeyote kama vle amoxylin walau siku moja,ukiona maumivu yamepungua ujue ni gono hiyo,anza nazo leo asubuhi hii hafu kesho asu.ulinganishe maumivu.
hiyo kombakiti inauzwa sh ngapi na cc3 ndo nini,nijuze tafadhar mkuuBro umeambulia kaswende,kachukuwe kombaakiti dawa 1 safi sana inapatikana ktk maduka ya mifugo,kisha chukua cc3 tafuta mtu akudunge utanipa siri ya mafanikio baada ya siku 1 mbeleni.
Kama kweli ulikuwa unatembea na binti huyohuyo tu, basi kabla ya kwenda hospitali muite ukae nae na umweleze ukweli wote ikiwa ni pamoja na kwenda naye hospitalini kwani ukitibiwa wewe tu haitakuwa imesaidia kumaliza tatizo.
kaka tumeenda kupima yeye yupo fiti tatizo kwangu na nimetumia dawa walizonipa ndani ya wiki nikawa fresh lakini now hali imerud vile vile,unawazo mbadala mkuu?
dogo acha janjajanja na usipokuwa makini utamwambukiza mtoto wa watu asiyehusika na uki-borodinda wako.
sema ulimgonga nani nje ya mahusiano yako na huyu mchumba wako....na sema kwanini ulipoanza dozi ukakatisha baada ya wiki moja na ukaenda tena ku-gonga huko kwa malaya wako wa vichochoroni....
Na nimekusikia ukisema eti mwenzako ana-kiharufu usichokielewaelewa....kwa taarifa yako hicho ki-harufu ndio natural smell ya k...na ni nadra sana kuipata kwa waliokomaaa zaidi ya hivyo vitoto vichanga...ndo ukuwe ujuwe kwanini beberu hunusa k za majike na kusimamisha mashine..harufu hiyooo....tafadhali uwe unatanguliza heshima kwa kijiharufu hicho...sipendi dharau.
ushauri wa leo...dogo kuwa serious nenda hospital kapate tiba stahiki na ufuate masharti ya daktari or else...utalia na kusaga meno..mashine itakuwa haisimami tena na hivyo hutokuwa unakula mizigo hance mzigo wako utaanza kuliwa na kuwa bwabwajaloooo.