Wakuu naomba msaada, nahisi nimemsababishia matatizo huyu denti

🤣🤣🤣🤣wee jamaa wewe!! imebidi tu nicheke😂😂😂
Well then, itakuwa ina range btn 3,500 mpaka 4,500 kutegemeana na eneo, again ni Tanzanian shillings usije ukauliza ni pounds or kwacha😂😂🙌🙌
nashukuru sana ngoja nifuate dukani au kama unajua na bei yake itakua poa nitoke na pesa ya kutosha
 
dah nimetoka dukani ni sh 3000 tu aisee sasa nimempa huyu binti kiaina shida anatia shaka kwamba ni sahihi kutumia nimemwambia nimeongea na wataalamu ndo wamenishauri
 
Kumbe wote mmemaliza kidato cha 4[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Au wewe bado uko form 2?

Furushi in the making.
 
Mwambie atakuwa safe, asiogope na atapona
Ila usirudie tena next time itakuwa ujauzito

Back
Top Bottom