Wakuu naomba msaada, nahisi nimemsababishia matatizo huyu denti

Hali hiyo ni kawaida tena wengine huwa wanavimba mpk matiti , homa ni lazima hata mm nakumbuka nilitokewa

na hali hiyo mtafutie dawa inaitwa ampclox ameze kukausha kidonda na kuondoa maambuzi ya backeria kwenye kuta za uke wake

Sent using i phone x
 
nishawajibika kumpa hiyo dawa ahsante
 
nashukuru sana ngoja nifuate dukani au kama unajua na bei yake itakua poa nitoke na pesa ya kutosha
Umempa mtoto wa watu gonjwa la zinaa halafu inaonekana wewe ni lofa. Kutoa bikra unaiba unadhani ni kazi nyepesi?
 
Hali hiyo ni kawaida tena wengine huwa wanavimba mpk matiti , homa ni lazima hata mm nakumbuka nilitokewa

na hali hiyo mtafutie dawa inaitwa ampclox ameze kukausha kidonda na kuondoa maambuzi ya backeria kwenye kuta za uke wake

Sent using i phone x
Sasa na ujanja wako na wewe wakakutoa? So huna saivi?
Aliyekutoa alikuoa?
Unaionaje Hali saivi, ungependa kuitoa vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuona Umehegemea Mlango wa Gereza Mkuu Mda wowote unaweza Zama ndani..

Unajua Muungurumo wa Defender mkuu Uwe unatega sikio kwa makini uko njee Ukiusikia tu we timua mbio
 
Utani utani unpigwa 30, jitahidi tafuta 50,000 nenda naye Hospital akatibiwe na uende Hosp I Siyo na wambea
 
Hali hiyo ni kawaida tena wengine huwa wanavimba mpk matiti , homa ni lazima hata mm nakumbuka nilitokewa

na hali hiyo mtafutie dawa inaitwa ampclox ameze kukausha kidonda na kuondoa maambuzi ya backeria kwenye kuta za uke wake

Sent using i phone x
Aliye kutoa bikra yako Ndiyo amekuoa??
Au ni baharia Bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah nimetoka dukani ni sh 3000 tu aisee sasa nimempa huyu binti kiaina shida anatia shaka kwamba ni sahihi kutumia nimemwambia nimeongea na wataalamu ndo wamenishauri
Unataka kuuliza kama anameza vyote kwa pamoja? Maana we jamaa umepanic sana[emoji23][emoji23] hiyo kitu huwa nzuri sana wakati unabambia ila baada ya hapo ni shida, hapo hajasema miezi inakatika haoni bleed, utatamani ufe tukuzike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyo binti ni tahira au anaupungufu wa akili ? alikua anajua kua ana jamiiana na chochote kina wezekana yakiwepo mahonjwa na mimbapia ...sasa ni kwanini mumuone mkosaji ni kijana pekeee hapo hilo ni tendo la watu wawili dio mmoja
Hakubakwa na alikubali mwenyewe na yupo anajiuguza kimya na si mkazi wa hapa akifaulu anaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…