Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wote mlio Comments mungu awabariki sana nitarudi baadae kidogo, nije kuwabariki kwa Comments zenu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
c61aee99c0ab09b19a207fedc5e93cba.jpg
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Mkuu hongera kwa ubunifu wa kuanzisha uzi na kupata wachangiaji wengi.

Ili kupata wachangiaji wengi lazima uwe mbunifu.

Keep it up Mkuu!!
 
Hiyo siyo sababu ya kuaga, hakuna mashindano hapa, wewe sema hisia zako, soma vinavyokuhusu tambaa mbele, like inakusaidia ninin wewe kilaza, una judge vipi kwamba uzi wako una maana? others will judge you, si wewe u judge tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duuu
 
Mkuu hongera kwa ubunifu wa kuanzisha uzi na kupata wachangiaji wengi.

Ili kupata wachangiaji wengi lazima uwe mbunifu.

Keep it up Mkuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ahsante mkuu hila, watu Wasiojulikana wako wengi sana humu.
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...

Ni marufuku kukata tamaa!
 
Haaaaahaa Mkuu timiza wajibu wako mambo mengine ni matokeo tu. Kama ulichoandika ni kizuri na watu hawaja comment au ku like hiyo sio jukumu lako,cha msingi wewe umeshaelimisha
 
Back
Top Bottom