Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
-
- #201
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] Ubarikiwe sana na wewe kwa comments yako mkuuKama namuona mleta uzi anavyotabasamu uzi wake unatembea mpaka page ya 20 sasa
Si umeaga unasepa...[emoji23] [emoji23] Kila la kheri kitu gani mkuu
Atoki mtu humu mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Si umeaga unasepa...
Na wewe pia chukua upako wa bwana kwa commentsNdugu tatizo lako ni upate likea na comments?? Damn shit! Weka issue kama unayo, upate likes ama usipate tambua jambo limefika
Mkuu acha kushangaa, ubarikiwe sana kwa comments yakoDuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atoki mtu humu mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hongera kwa ubunifu wa kuanzisha uzi na kupata wachangiaji wengi.Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DuuuHiyo siyo sababu ya kuaga, hakuna mashindano hapa, wewe sema hisia zako, soma vinavyokuhusu tambaa mbele, like inakusaidia ninin wewe kilaza, una judge vipi kwamba uzi wako una maana? others will judge you, si wewe u judge tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ahsante mkuu hila, watu Wasiojulikana wako wengi sana humu.Mkuu hongera kwa ubunifu wa kuanzisha uzi na kupata wachangiaji wengi.
Ili kupata wachangiaji wengi lazima uwe mbunifu.
Keep it up Mkuu!!
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
basi nimekupa na likeAhsante kwa comments nilikuwa nahitaji comments yako tu mkuu hakuna kingine.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Shida yangu ilikuwa comments na like moyo wangu Umetulia sasa tugange yajayo wakuu
Za kutwa SakayoUsijali mwaya
Utazoea tuu mdogo wangu, jichanganye tuu mwaya utapata marafiki hata Sie ilikuwa hivyo hivyo