Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Dah! uzi umekimbia huu...
 
d484a8365364a03042e407bd081d9d8f.jpg
Huu uzi umenifanya huyu demu anizimikie saa hizi nipo nae sehemu hotelini namgegeda Jf idumu milele
 
Ha ha ha mkuu bana mbona nimecoment sasa lakini mbona hivyo acha gubu ... Angalia Mda unaopost mada zako...
 
Nyegere sio ngedere.

Huyo ni adui wa wafuga nyuki.
Anavamia mizinga na kula asali yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Nyegere kihaya iko.
 
Sasa mbona hii wamekomene na like tumekupa?
Ukipata likes nyingi unapata pesa?au zinakufanyia nini hehee
 
Leo utakuwa umevunja rekodi comment kama 300!!![emoji2]
 
Haya comments hizi hapa tele! Rudi Mkuu.
 
Back
Top Bottom