Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Dah! uzi umekimbia huu...
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wanaufanyia nini, wafugaji nyuki mkojo wa ngedere mkuu???
Nyegere sio ngedere.

Huyo ni adui wa wafuga nyuki.
Anavamia mizinga na kula asali yote
 
Huu uzi umenifanya huyu demu anizimikie saa hizi nipo nae sehemu hotelini namgegeda Jf idumu milele
 
Ha ha ha mkuu bana mbona nimecoment sasa lakini mbona hivyo acha gubu ... Angalia Mda unaopost mada zako...
 
Nyegere sio ngedere.

Huyo ni adui wa wafuga nyuki.
Anavamia mizinga na kula asali yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Nyegere kihaya iko.
 
Sasa mbona hii wamekomene na like tumekupa?
Ukipata likes nyingi unapata pesa?au zinakufanyia nini hehee
 
Leo utakuwa umevunja rekodi comment kama 300!!![emoji2]
 
Haya comments hizi hapa tele! Rudi Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…