Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Ni idadi ngapi ya like unaziitaji kwa kila thread yako unayoleta humu ili usiondoke mjomba??!
Mojawapo like yako, na comments yako imenisaidia mkuu, nisiondoke mungu akubariki sana.
 
Kwa uandishi huo usiozingatia hata alama za uandishi unategemea nini?

Andika nyuzi zenye akili uone kama hautapata positive response.
 
Haya bana! Innah lillahi wa innah illahi rajiuni
 
Kwa nyuzi hii utapata likes na comments za kutoshaπŸ˜€..Inaweza kuwa ndo nyuzi itakayo wabamba
 
Kwa uandishi huo usiozingatia hata alama za uandishi unategemea nini?

Andika nyuzi zenye akili uone kama hautapata positive response.
Achana na maandishi, au uandishi shida yangu, kubwa ilikuwa comments yako. Kwa hiyo umenipa nashukuru sana kijana.
 
Kwa nyuzi hii utapata likes na comments za kutoshaπŸ˜€..Inaweza kuwa ndo nyuzi itakayo wabamba
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ iwabambe mara ngapi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…